Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu ndugu Issa Ng'imba afungua mafunzo ya wadau kuhusu maadili ya utumishi wa umma na mapambano dhidi ya rushwa kazini yaliyofanyika leo tarehe 30 Septemba, 2020 katika ukumbi wa Makao makuu ya jeshi la zima moto na Uokoaji, Dodoma.
Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi na kupinga rushwa mahala pa kazi katika kuwahudumia wananchi.
Mafunzo hayo ya siku moja yamehudhuriwa na watumishi wa Wizara kutoka idara na Vitengo.
![]() |
Mkurugenzi wa Idara
ya Utawala na Rasilimali watu ndugu Issa
Ng'imba akifungua mafunzo ya wadau kuhusu maadili ya utumishi wa umma na
mapambano dhidi ya rushwa kazini leo tarehe 30 Septemba, 2020 |


