Search This Blog

Thursday, December 5, 2019

Waziri wa Viwanda na Biashara afungua Mkutano wa Wafanyabiashara wa India na Tanzania Business Forum


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na India, ambapo alikua mgeni rasmi. Mkutano huu ulioandaliwa na TPSF (Tanzania Private Sector Foundation), umefanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 






Prof. Kitila Mkumbo aanza kazi muda mchache mara baada ya kuapiswa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Waziri wa Viwanda n...